Nenda kwa yaliyomo

Mauaji ya Wahutu wakati wa Vita vya Kwanza vya Kongo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mauaji ya Wahutu wakati wa Vita vya Kwanza vya Kongo inahusu mauaji ya watu wengi Wanyarwanda, Wakongo, na Wahutu wa Burundi, wakiwemo wanawake, na watoto, katika vijiji na kambi za wakimbizi kisha kuwindwa wakati wakikimbia katika eneo la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kuanzia Oktoba 1996 hadi Mei 1997.[1] Inakadiriwa watu 200,000 - 230,000 waliuawa.[2][3][4][5]

  1. Leaning, Jennifer; Sollom, Richard; Austin, Kathi (1996). "Investigations in Eastern Congo and Western Rwanda". Physicians for Human Rights.
  2. "Congolese Activists, Tired of Waiting, Demand Justice for Decades-Old War Crimes". www.worldpoliticsreview.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-07-18.
  3. "Rwanda dismisses UN report detailing possible Hutu genocide in Congo", Christian Science Monitor, 2010-08-27, ISSN 0882-7729, iliwekwa mnamo 2021-07-18
  4. Reyntjens, Filip (2009). The Great African War : Congo and Regional Geopolitics, 1996–2006 (PDF). New York: Cambridge University Press.
  5. Emizet, Kisangani N. F. (2000/06). "The massacre of refugees in Congo: a case of UN peacekeeping failure and international law". The Journal of Modern African Studies (kwa Kiingereza). 38 (2): 163–202. doi:10.1017/S0022278X0000330X. ISSN 1469-7777. {{cite journal}}: Check date values in: |date= (help)