Nenda kwa yaliyomo

Mauaji ya Ramka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mauaji ya Wilaya ya Relizane ya tarehe 4 Januari 1998 yalifanyika katika vijiji vitatu karibu na Oued Rhiou takriban maili 150 (kilomita 240) magharibi mwa Algiers, wakati wa mzozo wa Algeria wa miaka ya 1990. Takriban wanakijiji 172 waliuawa katika siku moja ya Ramadhani.

Viungo Vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mauaji ya Ramka kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.