Maua ya mwituni
Mandhari
Maua ya mwituni (au Mauamwitu) ni maua yanayokua katika mwitu au msitu, ikimaanisha hayakuzwi kwa mbegu. Huu msemo unamaanisha si mseto wala kilimo chaguliwa kwa kuwa ni tofauti kwa muonekano, kwa sababu ni maua ya asili kwa ardhi hiyo, hata kama kukua kwake hakutakua kiasili. Msemo huashiria mimea ya maua kiujumla hata kama hayajachanua wala si tu ua.
Katika hotuba ya mlimani, Yesu aliyazungumzia ili kusifu uzuri wake uliozidi ule wa mavazi ya mfalme Solomoni na kuhimiza waamini kumtegemea zaidi Mwenyezi Mungu (Math 6:28-30).
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- media kuhusu Wild flowers pa Wikimedia Commons
- Wildflower Magazine promotes the use and conservation of wildflowers and native plants, Lady Bird Johnson Wildflower Center. Formerly published by the North American Native Plant Society
- Plantlife, UK organization
- Wildflower in Cyprus Information on 1250 native plant species to North Cyprus.
- Ontario Wildflowers Detailed information about wildflowers of Ontario (Canada) and Northeastern North America
- Western USA wildflower reports
- NPIN: Native Plant Database
- Native Plant Database Ilihifadhiwa 30 Aprili 2016 kwenye Wayback Machine. from the North American Native Plant Society
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Maua ya mwituni kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |