Nenda kwa yaliyomo

Matthäus Lang von Wellenburg

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kadinali Lang von Wellenburg, mchoro wa mafuta kwenye ngozi, shule ya Danube, mapema karne ya 16
Nembo ya Kadinali Matthäus Lang von Wellenburg

Matthäus Lang von Wellenburg (146930 Machi 1540) alikuwa mwanasiasa wa Dola Takatifu la Kiroma, Kardinali na Mkuu wa Jimbo la Kikanisa la Salzburg kutoka 1519 hadi 1540.

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.