Matteo Priamo
Mandhari
Matteo Priamo (alizaliwa Castelfranco Veneto, 20 Machi 1982) ni mwanariadha wa baiskeli barabarani kutoka Italia.
Aliwahi kushiriki katika timu ya UCI Professional Continental, CSF Group–Navigare.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Matteo Priamo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |