Matilda Vinberg

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Vinberg akiwa na Hammarby mnamo 2022

Matilda Liv Vinberg (alizaliwa 16 Machi 2003) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uswidi ambaye anacheza kama winga wa klabu ya Tottenham Hotspurs inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL)[1] na timu ya taifa ya Uswidi.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Vinberg deal agreed". Tottenham Hotspur (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-28. 
  2. "Hammarby (1868)", Sister and Brother (Gallaudet University Press), 2018-04-18: 145–162, iliwekwa mnamo 2024-04-28 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Matilda Vinberg kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.