Maswali ya mara kwa mara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Katika intaneti, Maswali ya mara kwa mara (kifupi: MMM; kwa Kiingereza: Frequently Asked Question au FAQ) ni orodha ya maswali yanayoulizwa mara nyingi kuhusu mada moja na majibu yake.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).