Mason Greenwood

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mason Greenwood

Mason Je John Greenwood (alizaliwa 1 Oktoba 2001) ni mchezaji wa soka wa timu ya taifa ya Uingereza ambaye anacheza katika klabu ya Manchester United inayoshiriki Ligi Kuu ya Uingereza.

Kazi ya kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Greenwood amecheza vyema katika timu ya taifa ya Uingereza chini ya miaka 17 ambapo alicheza mechi sita mwaka 2017-18 na alikuwa sehemu ya kikosi ambacho kilicheza katika mashindano ya Algarve nchini Ureno.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mason Greenwood kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.