Mashindano ya Ushairi ya Welsh

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Mashindano ya Ushairi ya Welisi(kwa Kiingereza Welsh Poetry Competition) ni mashindano ya kila mwaka ya mashairi ya Kiingereza, na ni tuzo kubwa ya kipekee nchini Uingereza [1]. Tuzo hizi zilianzishwa mwaka 2007 na Welsh poet kwa ushirikiano na mpigapicha Dave Lewis.

Majaji wa mashindano hayo ni washairi wa Welisi, John Evans, Mike Jenkins, Eloise Williams, Sally Spedding na Kathy Miles mshindi wa tuzo za Bridport Prize.

Muandaji Dave Lewis amehariri na kuchapisha miswada ya washindi ya wa tuzo hizo The First Five Years[2] na Ten Years On.[3]

Washindi Waliopita[hariri | hariri chanzo]

 • 2019 Damen O'Brien (Australia), The Map-Makers Tale[4]
 • 2018 Judy Durrant (Victoria, Australia), Prayer To A Jacaranda[5]
 • 2017 Rae Howells (Swansea, Welisi), Airlings[6]
 • 2016 Tarquin Landseer (London, Uingereza), Blackfish[7]
 • 2015 Mick Evans (Carmarthenshire, Welisi), Map Makers[8]
 • 2014 Kathy Miles (Cardigan, Welisi), The Pain Game[9]
 • 2013 Josie Turner (Uingereza), Rations[10]
 • 2012 Sally Spedding (Welisi), She wears green[11]
 • 2011 David J Costello (Wirral, Uingereza), Horseshoe Bat[12]
 • 2010 Sally Spedding (Ammanford, Welisi), Litzmannstadt 1941[13]
 • 2009 John Gallas (Leicestershire, Uingereza), The origami lesson[14]
 • 2008 Emily Hinshelwood (Ammanford, Welisi), Visually Speaking[15]
 • 2007 Gavin Price (Cardiff, Welisi), Concrete[16]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

P literature.svg Makala hii kuhusu mambo ya fasihi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mashindano ya Ushairi ya Welsh kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.