Mary Masanja

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mary Francis Masanja ni mwanasiasa wa Kitanzania na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii na kwa sasa anahudumu kama mbunge wa Chama Cha Mapinduzi kwa uwakilishi wa wanawake kwenye viti maalum tangu Novemba 2020.[1][2][3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mary Masanja kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.