Mary Jane Richardson Jones
Mandhari
Mary Jane Richardson Jones (1819 – 26 Desemba 1909) alikuwa mpigania haki za binadamu, mfadhili, na mwanaharakati wa haki za wanawake wa Marekani.
Alizaliwa Tennessee kwa wazazi Waafrika-Wamarekani waliokuwa huru, na familia yake ilihamia Illinois.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Smith, Jessie Carney; Phelps, Shirelle, whr. (2003). "Jones, Mary Jane Richardson". Notable Black American Women. Juz. la 3. Detroit: Gale Research. ISBN 0-8103-4749-0. OCLC 24468213.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mary Jane Richardson Jones kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |