Mary Chapin Carpenter
Mandhari
Mary Chapin Carpenter (alizaliwa 21 Februari 1958)[1] ni mwanamuziki wa Marekani. Carpenter alitumia miaka kadhaa kuimba katika vilabu vya Washington, D.C., kabla ya kusaini mwishoni mwa miaka ya 1980 na Columbia Records. Albamu ya kwanza ya Carpenter, 1987 Hometown Girl, haikutoa nyimbo zozote za maigizo.
Alifanikiwa kutoa nyimbo miaka ya 1989 kupitia State of the Heart na Shooting Straight in the Dark miaka ya 1990.[2][3] Alifanikiwa kushinda tuzo tano za Grammy Awards kati ya kumi na nane alizochaguliwa kushiriki.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Mary Chapin Carpenter's Mother Dies". The Boot. Mei 4, 2016. Iliwekwa mnamo Oktoba 14, 2022.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "'Ashes' to beauty", Washington Blade, August 8, 2013. Retrieved on 14 October 2022.
- ↑ Whitburn, Joel (2017). Hot Country Songs 1944 to 2017. Record Research, Inc. uk. 71. ISBN 978-0-89820-229-8.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mary Chapin Carpenter kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |