Nenda kwa yaliyomo

Mary Bell

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mary Bell

Mary Teston Luis Bell (3 Desemba 19036 Februari 1979) alikuwa msafiri wa anga wa Australia na kiongozi mwanzilishi wa kikosi cha mafunzo ya anga cha wanawake (WATC), shirika la kujitolea ambalo lilitoa msaada kwa jeshi la wanahewa la Australia (RAAF) wakati wa vita vya pili vya dunia. [1]

  1. Thomson, Joyce. "Mary Teston Luis Bell (1903–1979)". Australian Dictionary of Biography. National Centre of Biography, Australian National University. Iliwekwa mnamo 26 Julai 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mary Bell kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.