Nenda kwa yaliyomo

Martine Rebetez

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Martine Rebetez

Martine Rebetez (Alizaliwa mnamo mwaka 1961) ni mtaalamu wa hali ya hewa kutoka Uswizi. Yeye ni profesa katika Chuo Kikuu cha Neuchâtel[1] na mwanasayansi mkuu katika Taasisi ya Shirikisho la Utafiti wa Misitu , Theluji na Mazingira [2].

  1. "Prof. Dr. Martine Rebetez - Mitarbeitende - WSL". www.wsl.ch (kwa Swiss High German). Iliwekwa mnamo 2023-05-31.
  2. "Prof. Dr. Martine Rebetez - CV - Mitarbeitende - WSL". WSL.ch.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Martine Rebetez kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.