Nenda kwa yaliyomo

Marta Cardona

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Marta Cardona de Miguel (alizaliwa 26 Mei 1995) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uhispania, ambaye anacheza kama winga katika klabu ya Atletico Madrid, inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake ya Uhispania, na timu ya taifa Uhispania.[1][2]

  1. "Spain - Marta Cardona - Profile with news, career statistics and history - Soccerway". int.soccerway.com. Iliwekwa mnamo 2024-09-21.
  2. "Marta Cardona deja el Zaragoza CFF". El Periódico de Aragón (kwa Kihispania). 2017-06-02. Iliwekwa mnamo 2024-09-21.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marta Cardona kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.