Martín Abadi
Martín Abadi (alizaliwa 1963)[1] ni mwanasayansi wa kompyuta mwenye asili ya Argentina, aliyefanya kazi Google mwaka wa 2021[2]. Aliweza kupata kuwa Dactari wa Filosofi (PhD) kwenye sayansi ya kompyuta kutoka chuo kikuu cha Stanford mwaka 1987 kama mwanafunzi wa Zohar Manna.
Aliweza kujulikana kwa kazi ya ulinzi wa kompyuta na programu ya lugha za kikompyuta, ukijumlisha na karatasi yake (akiwa na Michael Burrows na Roger Needham) kwenye Burrows–Abadi–Needham yenye mantiki ya kuchambua njia za utambulishaji, na kitabu chake (akiwa na Luca Cardelli) Vipengele vya nadharia, kuweka nje calculi rasmi kwa ajili ya muundo wa programu ya lugha ya kikompyuta ya vipengele zaidi[3].
Mwaka 1993, alityangaza lugha ya kikompyuta Baby Modula-3, iliyokuwa salama na ndogo au lugha ndogo ya Modula-3, iliyojikita kwenye programu ya kazi na kuweka nadharia mbalimbali.
Alikuwa ni mshiliki wa Muungano wa mashine za kompyuta mwaka 2008[4]. Mwaka 2011, alikuwa profesa wa muda kwenye chuo cha de France ndani ya Paris[5], akifundisha ulinzi wa kompyuuta. Alichaguliwa kuwa mhusika wa Taaluma ya Taifa ya uhandisi mwaka 2018 kwa kutoa mchango wa nadharia halali ya ulinzi wa kompyuta[6].
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Biography - Informatics and Computational Sciences (2010-2011) - Collège de France (college-de-france.fr)
- ↑ Martín Abadi – Google Research
- ↑ "Luca Cardelli", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2021-12-21, iliwekwa mnamo 2022-07-27
- ↑ "Martin Abadi". awards.acm.org (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-07-27.
- ↑ www.legifrance.gouv.fr https://www.legifrance.gouv.fr/jorf/id/JORFTEXT000022799552. Iliwekwa mnamo 2022-07-27.
{{cite web}}
: Missing or empty|title=
(help) - ↑ "National Academy of Engineering Elects 83 Members and 16 Foreign Members". NAE Website. Iliwekwa mnamo 2022-07-27.