Mark Uth

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mark Uth

Mark Uth (amezaliwa 24 Agosti 1991) ni mchezaji wa soka wa Ujerumani ambaye anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya Schalke 04 ya Ujerumani.

Uth aliitwa kwenye timu ya taifa ya Ujerumani mwaka 2018.

Kazi ya klabu[hariri | hariri chanzo]

Schalke 04[hariri | hariri chanzo]

Mnamo Januari 2018, Uth alisajiriwa na Schalke 04 kwa uhamisho wa bure katika majira ya joto. Alisaini mkataba katika klabu hiyo mpaka mwaka 2022.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mark Uth kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.