Mark Diamond Addy

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mark Diamond Addy, meneja wa Shule ya Sekondari ya Jiji la Accra Ghana, alizindua National Reconstruction Party tarehe 2 Mei 1969. Baadaye mwezi huo NRP iliunganishwa na William Kofi Lutterodt's People's Popular Party.[1] Miaka kumi baadaye, Mark Diamond Addy aligombea kama mgombeaji huru katika uchaguzi wa Rais nchini Ghana, uchaguzi uliofanyika mwaka 1979 na akimaliza katika nafasi ya 9 kwa kupata 0.33% tu ya kura zote.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Moses Danquah, The birth of the Second Republic, 1969, pp. 78-79
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mark Diamond Addy kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.