Marjorie Oludhe Macgoye

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Marjorie Oludhe Macgoye (alizaliwa Mwaka wa 1928) ni mwandishi wa riwaya, insha na mashairi.[1] Marjorie Oludhe Macgoye alizaliwa mwaka wa 1928 kama Marjorie Klein mjini Southampton, Uingereza. [1] Alihamia Kenya mwaka wa 1954 na kuolewa na D.G.W. Oludhe-Macgoye 1960 akaingia katika ukoo wake wa Kijaluo.[1] Mwaka wa 1971, alitoa mkusanyiko wa mashairi Poems from East Africa uliokuwa pamoja na "A Freedom Song". [1] Riwaya yake ya mwaka 1986 Coming to Birth ilishinda Tuzo la Sinclair (Sinclair Prize). [1] Alitajwa kuwa "mama wa fasihi ya Kenya". [1] [2]

Kazi Zake[hariri | hariri chanzo]

  • 1972: Murder in Majengo
  • 1977: Song of Nyarloka and Other Poems
  • 1986: Coming to Birth
  • 1987: Street Life
  • 1987: The Present Moment
  • 1994: Homing In
  • 1997: Chira
  • 2005: A Farm Called Kishinev

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 1.2 1.3 1.4 1.5 mhariri: Simon Gikandi. Encyclopedia of African literature. London: Routledge, 135. ISBN 0415230195. 
  2. Coming to Birth. The Feminist Press. Iliwekwa mnamo 2010-01-10.