Nenda kwa yaliyomo

Marisa Olislagers

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Marisa Christiane Wilhelmina Olislagers (alizaliwa 9 Septemba 2000) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uholanzi, ambaye anacheza kama kiungo katika klabu ya Brighton & Hove Albion, inayshiriki Ligi Kuu ya Wanawake ya Uingereza (WSL) na timu ya taifa ya Uholanzi.[1]

  1. "Netherlands - M. Olislagers - Profile with news, career statistics and history - Soccerway". int.soccerway.com. Iliwekwa mnamo 2024-09-16.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marisa Olislagers kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.