Nenda kwa yaliyomo

Mario Ricci

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mario Ricci (13 Agosti 1914 – 22 Februari 2005) alikuwa mpanda baiskeli kutoka Italia. Alishiriki katika toleo saba la Giro d’Italia, na Tour de France ya mwaka 1949. Ricci pia alishinda Giro di Lombardia mwaka 1941 na 1945. [1]

  1. "36ème Tour de France 1949" (kwa Kifaransa). Memoire du cyclisme. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 24 Januari 2012. Iliwekwa mnamo 8 Machi 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mario Ricci kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.