Marimbula
Mandhari
Marimbula ni ala ya muziki toka Visiwa vya Karibi, hasa Kuba. Lakini ilifanya kutia na kalimba toka Afrika. Marimbula hufanana na kalimba kubwa. Marimbula inaundwa na ubao na mabamba membamba ya chuma, kwa hivyo ni ala ya mabamba (kwa Kiingereza: lamelophone).
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Gansemans, J. (1989). Le marimbula, un lamellophone africain aux Antilles néerlandaises. Cahiers d’ethnomusicologie. Anciennement Cahiers de musiques traditionnelles, (2), 125-132.
- Thompson, D. (1975). A new world mbira: the Caribbean marimbula. African Music: Journal of the International Library of African Music, 5(4), 140-148.
- Thompson, D. (1971). The marimbula, an Afro-Caribbean sanza. Anuario Interamericano de Investigacion Musical, 7, 103-116.
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Marimbula kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |