Marimba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Marimba.

Marimba (kwa Kiingereza "xylophone") ni ala au chombo cha muziki chenye umbo la sanduku, kilichotengenezwa kwa mbao na kutandikwa vibao vidogovidogo vyembamba vinavyotoa sauti mbalimbali vinapopigwa na virungu viwili.

Pia marimba huweza kutengenezwa kwa kutumia chuma.

Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marimba kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.