Nenda kwa yaliyomo

Marie Samuel Njie

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Marie Samuel Njie alikuwa mwanamuziki na mwimbaji maarufu kutoka nchini Gambia . [1] [2]

Maisha na familia

[hariri | hariri chanzo]

Marie Samuel Njie alikuwa mwimbaji muhimu wa griot na icon wa tamaduni katika nchi yake ya asili, Gambia . [1] Alitoka katika familia ambayo ilikuwa imetoa waimbaji kadhaa wakuu wa griot. [3] Nyimbo zilihusu hasa masuala ya kijamii na kisiasa, pamoja na maisha ya kila siku. [4] [2]

  1. 1.0 1.1 The Standard, The Gambia at 50: Fifty prominent Gambians who helped to shape the nation (23 February 2015)
  2. 2.0 2.1 The Point (the Gambia), Tribute to Paps Touray 2009 (19 May 2009) archive link (retrieved 15 August 2020)
  3. The Daily Observer [in] AllAfrica: Gambia: Gems of the Gambia (13 July 2016) (retrieved 15 August 2020)
  4. The Daily Observer [in] AllAfrica, Gambia: Tribute to the King Paps Touray's – Birthday Sixth December. by Oko Drammeh (7 December 2012) (retrieved 15 August 2020)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marie Samuel Njie kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.