Nenda kwa yaliyomo

Marie Madeleine Fouda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Marie Madeleine Fouda ni mwandishi wa habari kutoka nchini Kamerun, mtayarishaji wa vipindi mbalimbali redio, na mwanaharakati wa haki za wanawake. Amejulikana kwa kazi yake ya kuongoza mradi wa kutokomeza ukeketaji wa wanawake nchini Kamerun tangu mwaka 2006.[1]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marie Madeleine Fouda kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.