Marianne Durano

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Marianne Durano (alizaliwa Lyon, 10 Julai 1991) ni mwandishi wa insha na mwanafalsafa wa Kifaransa, na mwanachama wa bodi ya wahariri wa jarida la Limite. [1]

Wasifu[hariri | hariri chanzo]

Durano ni mmoja wa wananadharia wa Kifaransa wa ekolojia, akishirikiana na Eugénie Bastié pamoja na Gaultier Bès . Durano ni mhitimu wa falsafa huko Lyon, yeye pia ni profesa wa falsafa katika shule ya upili. [2] Ameolewa na Gaultier Bès tangu 2014; na kupata watoto wawili.[3][4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Marianne Durano – Limite". revuelimite.fr (kwa fr-FR). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-03-23. Iliwekwa mnamo 2018-04-11. 
  2. "Marianne Durano : " La réalité de notre corps de femme est mis sous contrôle chimique "", Radio Notre Dame, 2018-03-08. (fr-FR) 
  3. Pèlerin. "Gaultier Bès et Marianne Durano : veilleurs au nom de leur foi", Pelerin. Retrieved on 2023-04-15. (fr-FR) Archived from the original on 2017-09-06. 
  4. "Marianne Durano : libérer les femmes de la dictature du marché". www.famillechretienne.fr (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 2018-04-11. 
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marianne Durano kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.