Marianna Muntianu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Marianna Muntianu (alizaliwa 14 Agosti 1989) ni mwanzilishi na raisi wa Mfuko wa hali ya hewa wa Urusi, shirika la ulinzi wa mazingira. [1]

Mnamo mwaka wa 2019 alipewa Tuzo ya Umoja wa Mataifa "Mashindano ya Vijana wa Dunia" kwa njia yake ya ubunifu ya kulinda mazingira. [2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "About our foundation". rusclimatefund.ru. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-04-15. Iliwekwa mnamo 2021-04-07.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  2. "Marianna Muntianu". Young Champions of the Earth - UN Environment Program (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-03-30.  Unknown parameter |url-status= ignored (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marianna Muntianu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.