Nenda kwa yaliyomo

Mariam Ghani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mariam Ghani, 2014

Mariam Ghani (Pashto/Dari: مریم غنی; kuzaliwa 1978) ni msanii, mpigapicha, muongoza filamu na mwanaharakati wa Afghan mweny asili ya Amerika.

MAriam Ghani amezaliwa mwaka 1978 huko Brooklyn, New York[1] wenye asili ya Afghanistan na Lebanon. Baba yake, Mohammad Ashraf Ghani, alikuwa rais wa Afghanistan. [2] Mama yake, Rula Saade, ni raia wa Lebanon. [3]

  1. Robbins, Liz (2015-02-20), "Mariam Ghani, a Brooklyn Artist Whose Father Leads Afghanistan", The New York Times (kwa American English), ISSN 0362-4331, iliwekwa mnamo 2022-03-24
  2. "Afghanistan's far-flung 'first daughter', artist Mariam Ghani". France 24 (kwa Kiingereza). 2015-03-13. Iliwekwa mnamo 2022-03-24.
  3. Tanya Goudsouzian. "Afghan first lady in shadow of 1920s queen?". www.aljazeera.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-03-24.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mariam Ghani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.