Maria Roszak
Mandhari
Maria Roszak (jina la kitawa: Cecylia; 25 Machi 1908 – 16 Novemba 2018) alikuwa sista Mdominiko wa Polandi, aliyeorodheshwa na Wayahudi kati ya "Wenye Haki Miongoni mwa Mataifa," na aliishi zaidi ya miaka 110.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Starzak, Grażyna (Oktoba 6, 2017). "Trzeba nauczyć się pięknie żyć". dziennikpolski24.pl.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |