Maria Laura Fortunato

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

María Laura Fortunato (alizaliwa 31 Mei 1985) ni mwamuzi wa mpira wa miguu wa kimataifa kutoka nchini Argentina. [1] [2]

Alikuwa mwamuzi rasmi katika mashindano ya Kombe la Dunia la FIFA la wanawake 2019 huko Ufaransa. [3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Maria Laura Fortunato kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.