Maria Kamm

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Maria Kamm alikuwa mwanamke wa kwanza kupata shahada nchini Tanzania. Miaka 53 ya maisha aliyatumia kuwaelimisha na kuwashauri vijana hata kuwapa elimu ya bure. Pia aliwahi kuwa mwalimu mkuu katika shule ya sekondari ya Weruweru, Moshi.[1].

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Maria Kamm kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.