Marcos Rojo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Marcos Rojo.

Marcos Rojo (alizaliwa tarehe 20 Machi 1990) ni mchezaji wa Argentina ambaye anacheza Manchester United na timu ya taifa ya Argentina kama beki.

Klabu ya kwanza kuichezea ni Estudiantes de La Plata ambapo mwaka 2009 alifanikiwa kushinda kombe la Copa Libertadores.Mwaka 2012 alijiunga na Sporting CP baada ya miaka miwili alihamia Manchester United kwa ada ya Euro milioni 16 ambapo anacheza mpaka sasa.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marcos Rojo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.