Marcello Macchia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Marcello Macchia
Alizaliwa 2 Agosti 1978
Italia Vasto, Italia

Marcello Macchia (anajulikana kama Maccio Capatonda; alizaliwa Vasto, Italia, 2 Agosti 1978) ni mwigizaji wa Italia. Ni maarufu kwa ajili ya ushiriki wake katika mipango ya televisheni kama vile Mai dire... juu ya chaneli Italia 1.

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marcello Macchia kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.