Mara Schiavocampo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Mara Schiavocampo (alizaliwa Septemba 28, mwaka1979) ni Mmarekani mwandishi wa habari, anayefanyia kazi ya Habari za ABC. Alikuwa nanga wa Early Today kwenye NBC.[1] na alikuwa mwandishi wa NBC News. Sasa ni mwandishi wa habari wa ABC News New York.[2]

Maisha ya Awali na Elimu[hariri | hariri chanzo]

Schiavocampo alipokea shahada ya kwanza kutoka Chuo Kikuu cha California, Los Angeles na shahada ya uzamili kutoka chuo kikuu cha Maryland, College Park.[3]

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Schiavocampo amefanya kazi kwenye ABC News, CBS News, Current TV , Yahoo!, NPR, Ebony Magazin , ' 'Oprah Winfrey Show' ',' 'The Oz Show ', na' 'Uptown' '.

Schiavocampo alikuwa na NBC NEWS kutoka mwaka 2007 Hadi 2013, ambapo alikuwa mwandishi wa dijiti na nanga ya Early Today na nanga ya MSNBC 'S "First Look (MSNBC) kwa miaka yake mitatu iliyopita na NBC.

Maisha binafsi[hariri | hariri chanzo]

Schiavocampo ameolewa na Tommie Porter; wenzi hawa wana watoto wawili. Familia hiyo inaishi Harlem, New York.

Schiavocampo ni chotara, alizaliwa na baba mwenye asili ya Sicilia na mama Mwafrika-Mmarekani[4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Schiavocampo Tapped For 'Early Today,' 'First Look' - TVNewser. Mediabistro.com (2012-12-14). Jalada kutoka ya awali juu ya 2015-01-04. Iliwekwa mnamo 2021-05-22.
  2. Mara Schiavocampo Joins ABC News as New York-based Correspondent. Abcnews.go.com (2014-02-03).
  3. So what do you do, Mara Schiavocampo, NBC digital journalist?. Mediabistro (January 9, 2008).
  4. Mara Schiavocampo | Real Life Glam. GLAM Life Blog (2012-08-21). Jalada kutoka ya awali juu ya 2014-02-27. Iliwekwa mnamo 2014-03-18.
People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mara Schiavocampo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.