Nenda kwa yaliyomo

Maporomoko ya Bujagali

0°29′56″N 33°08′24″E / 0.49889°N 33.14000°E / 0.49889; 33.14000

Watu wakifurahia maporomoko ya Bujagali.

Maporomoko ya Bujagali (au Budhagali) yalikuweko karibu Jinja, Uganda, mto Nile ulikotoka ziwa Viktoria hadi Novemba 2011, yalipofunikwa na Lambo la Bujagali. Wataalamu wengine waliyahesabu kuwa chanzo cha Nile.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]