Mapenzi ya Mungu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mapenzi ya Mungu ni filamu ya Kitanzania iliyotolewa mwaka 2014[1].

Mtayarishaji mkuu ni Elizabeth Michael na imeongozwa na Alex Wasponga. Washiriki wakuu ni Elizabeth Michael, Linah Sanga, and Florah Mtegoha.

Washiriki[hariri | hariri chanzo]

Uandaaji[hariri | hariri chanzo]

Mandhari ya filamu hii ni Dar es Salaam Tanzania. Kampuni iliyoandaa ni Uwezo Production.

Kuachiwa[hariri | hariri chanzo]

  • Trela rasmi ya Mapenzi Ya Mungu iliwekwa katika chaneli ya YouTube ya Proin. Filamu hii iliwekwa sokoni rasmi tarehe 27 Oktoba 2014 kwa mfumo wa DVD na mtandaoni.[2]
  • Filamu ya Mapenzi ya Mungu ilioneshwa katika siku ya filamu ya Zanzibar na iliteuliwa katika mashindano ya Zuku Bongo Movies Awards[3]

Tuzo na Uteuzi[hariri | hariri chanzo]

Mwaka Tukio Tuzo Aliepokea Matokeo
2015 Zanzibar International Film Festival Zuku Bongo Movie Awards Mapenzi Ya Mungu Mshriki
2016 2016 Africa Magic Viewers Choice Awards Filamu Bora ya Afrika Mashariki Mapenzi Ya Mungu Ameshinda[4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mapenzi ya Mungu kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.