Manon Brunet
Mandhari
Manon Brunet (alizaliwa Februari 1996) ni Mfaransa mkinga uzio kwenye michezo ya saber. Mwaka 2018 alitwaa ubingwa wa dunia kwa timu yake,mara mbili katika Michezo ya Olimpiki, mwaka 2021 medali ya fedha kwenye timu yake, na mwaka 2021 alitwaa pia medali ya shaba pekee.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Manon Brunet", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2021-12-04, iliwekwa mnamo 2021-12-08
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Manon Brunet kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |