Nenda kwa yaliyomo

Mandy Ojugbana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mandy Brown Ojugbana ni mwanamuziki na mtangazaji wa redio kutoka Nigeria. Mwaka 1986, alitoa albamu yake ya kwanza iliyopewa jina la Breakthrough ambayo ilijumuisha upya wa nyimbo za Bobby Benson "Taxi Driver" na George Benson "The Greatest Love of All".[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Timothy, Asobele (2002). Historical trends of Nigerian indigenous and contemporary music. Lagos: Rothmed International. ku. 53–56.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mandy Ojugbana kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.