Nenda kwa yaliyomo

Mamadou Sarr

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mamadou Sarr (alizaliwa 29 Agosti 2005) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ufaransa, ambae anacheza kama beki klabu ya RWD Molenbeek inayoshiriki Ligi kuu ya Ubelgiji akitokea Olympique Lyonnais kwa mkopo.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Scouting: Mamadou Sarr (OL), la gloire de son père". RMC Sport (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 2024-06-16.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mamadou Sarr kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.