Nenda kwa yaliyomo

Malick Fofana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Malick Martin Fofana (alizaliwa 31 Machi 2005) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ubelgiji, ambae anacheza kama winga wa klabu ya Olympique Lyonnais inayoshiriki Ligi Kuu ya Ufaransa na timu ya taifa ya Ubelgiji.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "OFFICIEEL: AA Gent deal met Fofana". VoetbalBelgie (kwa Kiholanzi). Iliwekwa mnamo 2024-06-16.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Malick Fofana kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.