Cacongo
Mandhari
(Elekezwa kutoka Malembo)
Cacongo[1] [2] [3] (huitwa pia Lândana, Molembo[4]) ni Manispaa inayopatikana katika mji wa Kabinda nchini Angola. Manispaa hii inapatikana katika mwambao wa bahari ya Atlantiki, ikiwa na ukubwa wa eneo la kilometa za mraba 1679, na idadi ya watu wanaokadiriwa kufikia takribani 39,076 kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2014, lakini pia kwa mujibu wa takwimu za mwaka 2019 eneo hili linakadiriwa kuwa na idadi ya watu wapatao takribani 44,974 [5]
Historia
[hariri | hariri chanzo]Wareno walianza kuingia katika mji huo mnamo Karne ya 15 kipindi ambacho mji huu ulikuwa ukikaliwa na jamii iliyokuwa chini ya utawala wa Ufalme wa Cacongo.[6]
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ http://www.ine.gov.ao/xportal/xmain?xpid=ine&xpgid=classification_detail&classification_detail_qry=BOUI=6716320&actualmenu=767441
- ↑ https://web.archive.org/web/20161011131844/
- ↑ http://www.ine.gov.ao/xportal/xmain?xpid=ine&xpgid=classification_detail&classification_detail_qry=BOUI=6716320&actualmenu=767441
- ↑ "Map of the territories of Cabinda, Molembo and Massabi" edited by A. A. d’Oliveira. – Scale 1:750,000. – Lisbon: Commissão de Cartographia, 1886, engraved and printed in Paris, by Erhard Fres.
- ↑ Instituto Nacional de Estatistica, 2019.
- ↑ http://www.cabinda.net/Maps.html%7Ctitle=Maps Cabinda, Ngoyo, Kakongo, Loango|website=cabinda.net|access-date=5 July 2017}}
Makala hii kuhusu maeneo ya Angola bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Cacongo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |