Nenda kwa yaliyomo

Maleba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Maleba ni mavazi maalumu yanayovaliwa katika nafasi za pekee. Kwa mfano wasanii katika maonyesho, mahafali wanapotunukia shahada au vyeti, watu wanapofanya kazi mbalimbali, kwa mfano upishi, udaktari na nyinginezo.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Maleba kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.