Nenda kwa yaliyomo

Male Mabirizi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Male Mabirizi ni mwanasheria na wakili wa Uganda.[1][2]

Maisha binafsi na Elimu[hariri | hariri chanzo]

Mabirizi alizaliwa Lugazi mwaka 1987 na baba yake Mohammad Mutumba, na marehemu mama yake Ndwaddewazzibwa Mastula. Alisoma shule ya msingi ya uislamu Nkokonjeru. Alienda Shule ya sekondari ya crane kwa kiwango cha "Kawaida", na shule ya kiislamu ya kawempe kwa kiwango cha "juu". Alisomea shahada ya sheria kutoka Chuo Kikuu cha Makerere. [3][4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Lawyer Mabirizi starts from where he stopped". Monitor (kwa Kiingereza). 2023-03-01. Iliwekwa mnamo 2024-06-15.
  2. admin, N. P. (2020-08-28). "Why the public should disregard lawyer Male Mabirizi". Nilepost News (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-06-15.
  3. Uganda, Watchdog (2018-07-29). "Who is this maverick Lawyer Male Mabirizi Kiwanuka?". Watchdog Uganda (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2024-06-15.
  4. Uganda, Watchdog (2018-07-29). "Who is this maverick Lawyer Male Mabirizi Kiwanuka?". Watchdog Uganda (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2024-06-15.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Male Mabirizi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.