Malcom Forbes

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Malcolm Stevenson Forbes (19 Agosti 1919 - 24 Februari 1990) alikuwa mjasiriamali wa Marekani aliyejulikana sana kama mchapishaji wa jarida Forbes lililoanzishwa na baba yake B. C. Forbes.

Pia alijulikana kama mtetezi mkali wa ubepari na biashara ya soko huria.

People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Malcom Forbes kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.