Nenda kwa yaliyomo

Makumbusho ya Mutare

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Makumbusho ya Mutare ni makumbusho yanayopatikana katika jiji la Mutare nchini Zimbabwe, ni moja ya makumbusho manne ya Zimbabwe, na yalianzishwa mwaka 1959 .[1]

  1. "Maltwood" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2016-03-04. Iliwekwa mnamo 2020-05-04.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Makumbusho ya Mutare kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.