Makumbusho ya Mouassine
Makumbusho ya Mouassine ni makumbusho yaliyopo eneo la kihistoria la Medina, Marrakesh nchini Moroko. Makumbusho haya yalijengwa katika karne ya 16 mpaka karne ya 17 ikiwa pamoja na ghorofa ya juu inayojulikana kama dwiriya[1][2][3] ilikuja kubadilishwa kuwa makumbusho ya muziki kwa maonyesho ya kudumu na ya muda mfupi.[4][5]
Historia
[hariri | hariri chanzo]Jumba hili la makumbusho lipo wilaya ya Mouassine, ambalo ni matokeo ya mkakati wa maendeleo kipindi cha nasaba ya Saadi karne ya 16 na mwanzoni mwa karne ya 17. Katikati ya miaka ya 1560 Sultani Moulay Abdallah al-Ghalib aliamuru kuhamishwa kwa jamii ya Wayahudi, ambayo hadi wakati huo alikuwa amechukua wilaya hiyo, kwenda wilaya ya Mellah iliyopo karibu na jiji la Kasbah[[Kasbah of Marrakesh|Kasbah] of the city.[6][7] ardhi hii mpya ilikombolewa na baadaye kukarabatiwa kwenda kwenye muonekano mpya eneo jirani linalozunguka msikiti mpya wa Mouassine na jingo la kidini pamoja na Msikiti wa Bab Doukkala Mosque eneo la magharibi [7][6] Hii ilivutia idadi kubwa ya Bourgeoisie na familia za hali ya juu kujenga makazi yao hapa, [7]: 420–421 na kusababisha mikusanyiko ya miundombinu katika eneo hili kuanzia kipindi cha Saadiani. Mfano nyumba hizi katika kipindi cha utawala wa Saadiani zikiwemo Dar Cherifa zamani ikijulikana kama Dar Ijimi,Dar al-Mas'udiyyin, na Dar al-Masluhiyyin ijulikanyo kama Ksour Agafay[8] baadhi ya hizi nyumba kwa sasa zimebadilishwa kuwa migahawa,mikahawa na mahoteli.[8][9])
Majengo ambayo yapo karibu na makumbusho ya Mouassine kwa sasa yapo kusini mashariki mwa kona ya msikiti wa Mouassine, karibu na mtaa wa Derb el Hammam iliitwa badala ya sehemu ya kutawazia lenye muundo wa kituruki.[2][1] inajumuisha makazi pamoja na dwiriya, eneo la juu la nyumba ambayo ilikuwa inatumika kupokea wageni na imeunganishwa na jumba kuu.[1][10][6]: 379 [11] ilijengwa na familia za watu wenye hali ya juu, familia ya Sharifian kwenye miaka ya 1560, katika wakati huo eneo hilo lilijengwa na wa Saadia.[1] Baadhi ya picha za jua zilizochorwa kwenye nyumba, hata hivyo inatokea mpaka sasa kwenye utawala wa Alaouite dynasty chini ya sultani Ismail Ibn Sharif mpaka mwishoni mwa karne ya 17 au mwanzoni mwa karne ya 18.[2][10]
Katika muda wa karibuni nyumba hii ilitawaliwa na mwenyeji wa familia ya Mellakh pamoja na mchoraji Abdelhay Mellakh kuanzia1954 kabla haijanunuliwa mwaka 2012 na Patrick Manac’h and Hamid Megani, mkurugenzi mwenza wa makumbusho nyingine kwenye jiji hilo [Photography Museum of Marrakesh|Maison de la Photographie] ("House of Photography").[2][1][3][11] ijapokuwa baadhi ya milango ya mbao na dari ilionekana , Manac'h aligundua kuta halisi za nyumba zilikuwa zimefichwa katika safu za plasta na kuajiri msaada wa Xavier Salmon, na mkandarasi Louvre Museum, kuchunguza.[2] walifanya jaribio na kugundua safu nyembamba ya plasta nyeupe ya kisasa ndo ilikuwa halisi jasi ya rangi ya uwaridi uhalisi wa stucco wa historia ya douiria.[2] kwa msaada wa Salmon na wasaidizi wengine na timu ya mafundi waliajiriwa kwa umakini kutoa plasta ya kisasa, na kurejesha mapambo halisia.[2][1] na baadhi ya rangi halisi kutunzwa [2] kitu ambacho sio cha kawaida katika majengo ya utawala waaadian saadian.[8]: 280 jumba la kihistoria lilifunguliwa kama makumbusho na ukumbi wa utamaduni mwaka 2014 na mwaka 2019 lilikuwa makumbusho ya muziki moroko, na pia kuwa eneo la utumbuizaji muziki.[3][5]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ 1.0 1.1 1.2 1.3 1.4 1.5 "Musée de Mouassine | Marrakesh, Morocco Attractions". Lonely Planet (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-06-16.
- ↑ 2.0 2.1 2.2 2.3 2.4 2.5 2.6 2.7 Kilkelly, Colin. "The 16th Century Douiria Discovery in Marrakech, Your Morocco Travel Guide". Morocco Travel Blog (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2020-06-17.
- ↑ 3.0 3.1 3.2 "Histoire". www.museedelamusique.ma. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-06-17. Iliwekwa mnamo 2020-06-17.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help) - ↑ "Evenements". museedelamusique.ma. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-09-19. Iliwekwa mnamo 2020-06-16.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help) - ↑ 5.0 5.1 "Musée de la Musique - Musée Mouassine à Marrakech". Vivre-Marrakech.com. Iliwekwa mnamo 2020-06-16.
- ↑ 6.0 6.1 6.2 Wilbaux, Quentin (2001). La médina de Marrakech: Formation des espaces urbains d'une ancienne capitale du Maroc. Paris: L'Harmattan. ISBN 2747523888.
- ↑ 7.0 7.1 7.2 Deverdun, Gaston (1959). Marrakech: Des origines à 1912. Rabat: Éditions Techniques Nord-Africaines.
- ↑ 8.0 8.1 8.2 Salmon, Xavier (2016). Marrakech: Splendeurs saadiennes: 1550-1650. Paris: LienArt. ISBN 9782359061826.
- ↑ "Dar Cherifa | Marrakesh, Morocco Nightlife". Lonely Planet (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-06-17.
- ↑ 10.0 10.1 Kilkelly, Colin (2014-04-07). "A 17th Century Douiria Reception Apt. Uncovered in Marrakech". Morocco World News (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2020-06-16.
- ↑ 11.0 11.1 "Marrakech : Le musée Maouassine, un lieu chargé d'histoire (Photos)". 2M (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 2020-06-17.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |