Nenda kwa yaliyomo

Makumbusho ya Kitaifa ya Mambo ya Kale na Sanaa za Kiislamu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Makumbusho ya Mambo ya Kale mwaka 1899 hivi.

Makumbusho ya Kitaifa ya Mambo ya Kale na Sanaa ya Kiislamu (kwa Kifaransa: Musée National des Antiquités & des Arts Islamiques) ni jumba la makumbusho la sanaa huko Algiers, Algeria.[1]

  1. "Museum: Entrance Hall, II, Algiers, Algeria". World Digital Library. 1899. Iliwekwa mnamo 2013-09-25.

Viungo Vya Nje

[hariri | hariri chanzo]