Nenda kwa yaliyomo

Makumbusho ya Eneo la Peterboro

Majiranukta: 42°58′1.5″N 75°40′58.5″W / 42.967083°N 75.682917°W / 42.967083; -75.682917
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Makumbusho ya Eneo la Peterboro, 4608 Peterboro Road, Peterboro, New York, iko katika jengo la zamani la shule ya Home for Destitute Children of Madison County. Makumbusho haya yana vitu vya kumbukumbu vinavyohusiana na harakati na watu wa jamii hiyo: harakati za kukomesha utumwa, Gerrit Smith na familia yake, haki za wanawake, soka, na ng'ombe wa Holstein-Friesian waliokuwa wakifugwa na mjukuu wa Smith, Gerrit Smith Miller. Mnamo mwaka 2022, makumbusho haya yalifunguliwa Jumapili saa 8 mchana hadi saa 10 jioni, kuanzia Juni hadi Septemba, au kwa miadi maalum.[1]

  1. Peterboro Area Museum, Madison County Tourism, 2022

42°58′1.5″N 75°40′58.5″W / 42.967083°N 75.682917°W / 42.967083; -75.682917

Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Makumbusho ya Eneo la Peterboro kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.