Makoko
Mandhari
Makoko ni kata mojawapo ya Manisipaa ya Musoma katika Mkoa wa Mara, Tanzania, yenye postikodi namba 31110.
Kata ya Makoko ina mitaa mitano ambayo ni Nyarigamba, Nyang'wena, Nyamiongo, Ziwani na Bukanga.
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa kuwa 12,364 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 9,888 waishio humo.[2]
Wakazi wa Makoko wanatumia lugha za Kiswahili na Kikwaya kwa mawasiliano ya kila siku.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Kata za Wilaya ya Musoma Mjini - Mkoa wa Mara - Tanzania | ||
|---|---|---|
|
Buhare | Bweri | Iringo | Kamunyonge | Kigera | Kitaji | Kwangwa | Makoko | Mshikamano | Mukendo | Mwigobero | Mwisenge | Nyakato | Nyamatare | Nyasho | Rwamlimi | ||
| Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mara bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Makoko kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usiingize majina ya viongozi au maafisa wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |