Majadiliano ya mtumiaji:Tofaa

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Salam Nd. Tofaa. Karibu katika Wikipedia ya Kiswahili! Twamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Nimeona ukiandika makala kadhaa za dini na masuala ya shule. Tafadhali tazama majadiliano kuhusu makala ya Shule ya Biblia, hapa.--Mwanaharakati (Longa) 16:12, 29 Mei 2009 (UTC)[jibu]